Siku ya Afya Duniani ni siku ambayo pia Umoja wa Mataifa ulianzishwa manamo mwaka wa 1948. Leo siku hii imeadhimishwa kote. Tunaangazia mafanikio na changamoto kwa wanawake na vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki kuhusiana na utoaji wa huduma ya afya.