Radio
19:30 - 19:59
Polisi wa Kenya wamemkamata kiongozi wa kidini huko Malindi kufuatia vifo vya wafuasi wake aliowaambia wakae na njaa ili wakutane na Yesu.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.