Radio
16:30 - 16:59
Elon Musk kuekeza ziadi katika huduma ya internet Afrika mashariki ili kukuza biashara
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga ametangaza timu ya kufanya mazungumzo na serikali ya Rais Ruto ili kushinikiza marekebisho ya katiba
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.