Radio
16:30 - 17:00
Mswada dhidi ya wanaosambaza picha za ngono na za siri kwenye mitandao kuasilishwa bungeni Kenya
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
21:00 - 21:29
Polisi nchini Kenya wameimarisha uchunguzi kuhusu wahubiri wanaoeneza mafunzo ya dini yenye utata na yanayopelelea waumini kufariki
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.