Radio
19:30 - 19:59
Mapigano katika mji mkuu wa Sudan yaliingia wiki ya pili Jumamosi wakati milio ya risasi ikivunja makubaliano ya muda ya sitisho la mapigano
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.