Radio
19:30 - 19:59
Pande zinazohasimiana nchini Sudan ziko wazi zaidi kwa mashauriano na zimekubali kuwa mzozo uliozuka wiki mbili zilizopita hauwezi kuendelea
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.