Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wazazi wameoewa wito wa kulinda watoto wao hasa wakati wa sikukuu na wasitegemee serikali kuwalindia.
Katika mjadala wa moja kwa moja- Live talk tunamulika masuala mbali mbali ikiwa ni pamoja na vita vinavyoendelea Sudan, sherehe za Eid-El Fitr na pia maoni ya wasikilizaji