Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Russia huenda ikawa tayari kubadilishana wafungwa na Marekani - Mwanadiplomasia mwandamizi
Mwanadiplomasia wa juu wa Russia anasema kuwa Moscow inaweza kuwa tayari kujadili uwezekano wa kubadilishana wafungwa unaohusisha mwandishi wa jarida la Wall Street Journal Evan Gersh-kovich aliyefungwa jela baada ya mahakama kutoa uamuzi wake.