Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Suala la ndoa za kundaliwa limeonekana katika baadhi ya jamii mbali mbali barani Afrika, je hili ni jambo jema la kudumisha au la, hasa ikishuhudiwa katika siku za karibuni ndoa zikivunjika kwa kiasi kikubwa.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.