Radio
19:30 - 19:59
Ethiopia yaingia kwenye orodha ya mataifa ya kiafrika yalioshindwa kulipa deni lake la kigeni.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.