Radio
19:30 - 19:59
Kenya yapongeza Marekani kwenye ushirikiano wa kupambana na janga la HIV na Ukimwi kupitia mpango wa PEPFAR.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.