Radio
19:30 - 19:59
Mamia ya wanajeshi wa Kenya katika kikosi cha kikanda cha Mashariki ya Kati wameondoka Goma baada ya KIinshasa kukata kuongeza muda wao
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.