Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Bima ya afya kwa wote Tanzania wanaharakati watoa wito kwa maboresho zaidi
Watetezi wakosoa serikali ya Tanzania kuwahamisha wafugaji wanaoishi katika hifadhi ya Ngorongoro
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.