Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Siku ya Wahamiaji duniani: Wahamiaji wazungumza uzoefu wao na kutoa ushauri
Kenya na Umoja wa Ulaya zimetia saini Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi
Kampeni za mwisho mwisho zilifanyika Jumatatu kwelekea kwa uchaguzi mkuu Jumatano huku kukiwa na wasiwasi kama zoezi hilo litakuwa la haki na salama.