Radio
19:30 - 19:59
Zimbabwe imeanza mfululizo wa uchaguzi mdogo leo huku upinzani ukiwa katika hali ya taharuki baada ya kutengwa katika orodha ya wapiga kura
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.