Radio
19:30 - 20:29
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasni ya Congo zinaendelea kukiwa na wagombea 25 dhidi ya Rais Felix Tshisekedi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29