Radio
16:30 - 17:00
Kijana Abuu wa Uganda anatoa maoni yake juu ya mradi wa Heifer International unavyotoa fursa kwa vijana ili kujikimu kimaisha nchini humo
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Jeshi la DRC limeapa kumkamata na kumuadhibu mwanajeshi yeyote atakayeshirikiana na waasi wa FDLR
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.