Radio
16:30 - 16:59
Kijana Issa wa Tanzania anaelezea changamoto wanazopitia vijana kuchagua nyanja sahihi ya masomo ili kuendana na uhalisia wa maisha yaliopo
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Rais William Ruto wa Kenya anasema serikali yake inapanga kuzindua huduma ya afya kwa wote hapo Januari Mosi mwaka 2024.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.