Radio
19:30 - 19:59
Mtaalamu wa afya anasema mfumo wa maisha ya wakati huu unachangia kwa kiasi kikubwa jamii kupata ugonjwa wa Kisukari katika umri wowote.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.