Radio
19:30 - 19:59
Blinken akutana na viongozi wa Mashariki ya Kati huko Jordan kuzungumzia mzozo wa Gaza.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.