Radio
16:30 - 16:59
Mke wa rais wa Rwanda Janet Kagame atoa wito kwa vijana kuwa mtari wa mbele katika kuhamasisha amani nchini humo
Katika kongamano lililofanyika Jumapili na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kike pamoja na vijana mke wa rais wa Rwanda Janet Kagame alitoa wito kwa vijana kuwa mtari wa mbele katika kuhamasisha amani nchini humo