Radio
19:30 - 19:59
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken atembelea Israel na kukutana na waziri mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu mzozo uliopo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.