Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wanawake, watoto na vijana wanakabiliwa na changamoto wakati makabiliano yakiendelea kati ya wanamgambo wa Hamas na Israeli.
Balozi wa Tanzania nchini Israel aeleza kuhusu watanzania waliopotea
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.