Serikali ya Tanzania imesema imeanza mpango wa kuwarejesha nyumbani raia wake walio nchini Israeli wakati mzozo ukiendelea kutokota kati Israeli na wanamgambo wa Hamas.