Radio
16:30 - 16:59
Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote. Kijana Jessica anasema vijana wanahitaji bima iliyo bora kwa afya njema
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.