Radio
19:30 - 20:29
Live Talk kuhusu siku ya kimataifa ya mtoto wa kike, ambapo wataalam wanatoa maoni yao.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.