Radio
16:30 - 16:59
Afrika Kusini yasifiwa kwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Dunia la Rugby
Timu ya taifa ya Rugby ya Afrika Kusini imefanikiwa kuingia fainali ya michuano hiyo ya kombe la dunia baada ya kuishinda Uingereza kwa pointi 16-15 katika mchezo mkali na kusisimua ambao Uingereza walitawala kwa sehemu kubwa.
19:30 - 20:00
Wamiliki wa vituo vya mafuta nchini DRC wanailalamikia serikali nchini humo kwa kuwaongezea bei ya mafuta jambo ambalo linaumiza jamii
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.