Radio
19:30 - 19:59
Africa Kusini yaamuru wanajeshi wanaoshutumiwa kwa unyanyasaji wa kingono DRC warudi nyumbani
Jeshi la Afrika Kusini lilisema Jumapili kuwa limewaamuru kurudi nyumbani wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kwa utovu wa nidhamu unaohusiana na unyanyasaji wa kingono katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hadi uchunguzi ufanyike.