Radio
16:30 - 16:59
Kijana Gillsant anaeleza namna UN kupitia mashirika yake inavyoweza kuimarisha ubunifu wa kidijitali kwa kuwawezesha wavumbuzi vijana
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:00
Gavana wa jimbo la Maine athibitisha watu 18 waliuawa na mshambuliaji aliyetumia bunduki
Gavana wa jimbo la Maine anasema takriban watu 18 waliuawa na 13 walijeruhiwa kwa risasi katika jimbo lake, wakati mwanamume mmoja alipofyatua risasi kwenye eneo la kucheza mpira wa bowling, na kwenye mgahawa katika mji wa Lewiston na kisha kutoroka, na kusababisha msako mkubwa.