Radio
19:30 - 19:59
Vijana waombwa kujikita kwenye matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwenye mkutano wa kimataifa wa awamu ya nne jiji Nairobi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.