Radio
21:00 - 21:29
Meza ya waandishi yaangazia ripoti kuu wiki hii, zikiwa ni pamoja na mauaji ya takriban watu 18 kwa bunduki Marekani
Waandishi wa habari Shafi Mbinda na Asiraji Kariango waangazia matukio makuu ya wiki, yakiwa ni pamoja na mzozo wa Israeli na Hams na mashambulizi yaliyosababisha vifo vya angalau watu 18 Marekani.