Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Leo kati ya mengine, tutaendelea kuangazia mzozo wa Israeli na Kundi la Wanamgambo wa Hamas, Mkutano wa tatu wa mpango wa reli na barabara wa China maarufu BRI, na uzinduzi wa mpnago wa Afya kwa wote nchini Kenya.