Taasisi za mikopo midogo Uganda na makampuni ya kukopesha fedha yanashinikiza kutambuliwa kama benki ndogo, ambazo wanasema zitasaidia kuleta taswira ya uaminifu miongoni mwa wateja, na kuongeza uwezo wa kutoa ufadhili, ya vijana, wanaotafuta msaada wa kifedha ili kuanzisha bishara zao.