Radio
19:30 - 20:00
Russia inaonekana kushindwa kujua mkakati wa vita wa Ukraine, madai ya kuuwa wanajeshi 600 wa Ukraine ni ya 'uongo'
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.