Radio
16:30 - 16:59
Mwalimu nchini Kenya aanzisha kampuni ya kutengneza pikipiki za umeme
Mwalimu mmoja nchini Kenya aanzisha kampuni ambayom inatengeneza pikipiki zinazotumia nguvu za umeme kutoka kwenye betri za zamani za kompyuta za mkononi maarufu Laptop. Uvumbuzi huo, unatajwa kuwa njia nafuu na endelevu ya usafiri kwa kutumia rasilimali ambazo ni rahisi kupatikana.
19:30 - 19:59
Kiongozi wa upinzani Tanzania, Tundu Lissu amerejea nchini baada ya kuishi uhamishoni Ubelgiji kwa muda. chama kimeahidi katiba mpya
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Taarifa za kina kuhusu mapigano yanayoendelea kwenye mikoa ya Kivu kusini na kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.