Radio
19:30 - 20:00
Wanaharakati Tanzania wampongeza mwandishi habari kwa kuwashtaki DCI na DPP
Wanaharakati wa haki za kibinadamu nchini Tanzania wamepongeza hatua ya mwandishi wa habari Lukman Maloto kuwashtaki mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP) kwa kushindwa kuchunguza shutuma za uhalifu uliofanywa na watu wasiojulikana.
21:00 - 21:29
Wamarekani wanaadhimisha siku ya Dr.Martin Luther King Jr mwanaharakati wa haki za kiraia kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii
Rais wa Marekani Joe Biden anawasihi wamarekani wazingatie urithi aliouacha Dr.King mtu aliyeangaza nuru wakati wa kipindi cha giza na kupelekea njia ya usawa, haki na amani kwa jamii.