Radio
16:30 - 16:59
Mmoja wa wazazi kutoka mkoa wa Arusha huko Tanzania anaiomba serikali kuchunguza kwa kina suala la watoto kufundishwa kulawitiana shuleni
Shutuma za watoto wanafundishwa kulawitiana shuleni zimeripotiwa na moja ya magazeti yanayoaminika nchini Tanzania jambo lililozusha taharuki kwa wazazi, jamii na wakati huo huo serikali inasema inafanya uchunguzi kuhusiana na tukio hili
19:30 - 19:59
Raia wa DRC wameandamana kutaka jeshi la Jumuiya ya Afrika mashariki kupambana na M23 moja kwa moja au waondoke nchini humo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.