Radio
19:30 - 20:00
Wanasayansi kenya wamegundua ugonjwa wa kisonono usiyosikia dawa unasambaa kwa kasi bila ya wagonjwa kuonyesha dalili za kuugua
Dawa 17 tofauti zimetumika kutibu aina hiyo ya kisonono bila mafanikio. Kulingana na taasisi ya utafiti wa kisayansi Kenya (KEMRI). Ugonjwa wa kisonono unaendelea kusambaa Kenya na idadi ya watu walioambukizwa haijulikani kutokana na watu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na watu tofauti
21:00 - 21:29
Taarifa kuhusu maadhimisho ya 56 ya mapinduzi ya Zanzibar. Baadhi ya wakazi wasema kwamba kuna hatua nyingi zinazohitajika kupigwa.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.