Radio
16:30 - 16:59
Wamiliki wa shule na vyuo vya Uganda washutumiwa kwa ulaghai
Taarifa za vyombo vya habari zinaeleza kwamba kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ulaghai uanaofanywa na wamiliki wa shule na vyuo vya kibinafsi nchini Uganda, hususan kuhusiana na matangangazo yanayotolewa na taasisi hizo, ya kuwavutia wateja.
19:30 - 19:59
Rais Museveni na viongozi kadhaa wa serikali Uganda washuhudia kuanza kwa kazi ya uchimbaji katika kisima cha Kingfisher
Uganda waanza uchimbaji wa mafuta kwa mara ya kwanza ambapo Rais Yoweri Museveni na viongozi kadhaa wa serikali wamekutana kushuhudia kuanza kwa kazi ya uchimbaji katika kisima cha Kingfisher katika wilaya za Kikuube na Hoima
21:00 - 21:29