Radio
19:30 - 19:59
Huduma ya reli ya mwendo kasi yafunguliwa tena nchini China baada ya kusitishwa kwa muda mrefu kutokana na janga la Covid-19.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.