Radio
19:30 - 20:29
Mkutano wa ucumi duniani (WEF) wamalizika Davos huku Afrika ikiwa na matumaini ya kufaidika nao
Voongozi wa nchi, serikali na makampuni mbalimbali kutoka barani Afrika, wiki hii wameungana na wenzao kutoka kwingineko ilimwenguni kwa kongamano la kila mwaka mjini Davis, Uswuzi, la kutathmini njia za kuboresha hali ta maisha katika nyanja mbalimbali. Matarajio ya Afrika ni yapi?
21:00 - 21:29
Baadhi ya wakazi mashariki mwa DRC wadai kuondoka kwa vikosi vya Jumuia ya Afrika mashariki kwa kushindwa kukabiliana na waasi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.