Radio
19:30 - 19:59
Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov yupo Afrika kusini wakati wanajeshi wa Russia Afrika kusini na China wanafanya mazoezi pamoja
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa mataifa Linda Thomas-Greenfield anaitembelea Afrika Jumatano wiki hii
Balozi Thomas-Greenfield atakwenda Ghana, Msumbiji na Kenya kuthibitisha na kuimarisha ushirikiano wa Marekani na wanachama muhimu wa sasa na wa zamani wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Akiwa Kenya atakutana na wakimbizi wanaosubiri makazi mapya nchini Marekani katika mpango wa Welcome Corps