Radio
16:30 - 16:59
Kampuni ya magari ya BMW imeonyesha gari la kwanza ulimwenguni lenye uwezo wa kubadilisha aina 32 za rangi ambazo zinamvutia dereva
Maonyesho hayo ya siku nne ambayo yamewakutanisha pamoja wavumbuzi wa teknolojia wenye ushawishi mkubwa ili kuonyesha bidhaa mpya na kufanya mikataba inaelezwa tayari yamevunja rekodi za mahudhurio ya watu laki moja huko Las Vegas kwenye jimbo la Nevada nchini Marekani
19:30 - 19:59
Serikali ya Tanzania imesisitiza haitatumia teknolojia ya mbegu za GMO lakini wataalam wake hawataacha kujifunza matumizi yake
Waziri wa kilimo Hussein Bashe amesema wataendelea kujifunza kutoka nchi ambazo zimeanza kutumia teknoljia hiyo ya GMO kwa sababu serikali ya Tanzania haiwezi kuingia kwenye mjadala wa kutumia au kutokutumia teknolojia hiyo bila kufahamu undani wake
21:00 - 21:29
Rais Museveni anataka majenerali kuacha kujibizana na mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba kuhusu uongozi wa nchi. Mazungumzo yanaendelea Sudan
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.