Maonyesho hayo ya siku nne ambayo yamewakutanisha pamoja wavumbuzi wa teknolojia wenye ushawishi mkubwa ili kuonyesha bidhaa mpya na kufanya mikataba inaelezwa tayari yamevunja rekodi za mahudhurio ya watu laki moja huko Las Vegas kwenye jimbo la Nevada nchini Marekani