Radio
19:30 - 19:59
DRC imewakamata raia wa Rwanda na kudai kwamba walikuwa wanapanga kuangusha ndege ya Tshisekedi
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Wabunge wa Bunge jipya la 118 Marekani wanatarajiwa kuapishwa Jumanne huku nafasi ya spika bado kitendawili
Wakati Republican wakirejesha udhibiti wa bunge ambalo linahitaji spika mpya. Kiongozi wa Chama cha Republican Kevin McCarthy ndiye anayepigiwa upatu wa kukaimu nafasi ya spika lakini wapinzani wachache wamekuwa chanzo cha maumivu ya kichwa kwa Kevin McCarthy na washirika wake