Matukio makuu ya mwaka 2022 wachambuzi wana matumaini katika masuala ya uchumi na kutaja kuwa ni mwaka wa ushindi katika demokrasia.