Radio
16:30 - 16:59
Kwa kukabiliana na mimba za utotoni, ABC Arusha, ni mradi unaotoa baisikeli kwa mabinti wa vijijini wanaotembea umbali mrefu kwenda shuleni
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:00
Vita vya maneno kati ya Rwanda na DRC vyaweza kufanya mzozo wa mashariki mwa Congo kuwa mbaya zaidi, wasema wachambuzi
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Tanzania imekopa dola bilioni 2.2 kutoka China kumalizia ujenzi wa SGR licha ya ukosoaji mkubwa ndani ya nchi kuhusu deni la taifa
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.