Radio
19:30 - 19:59
Mapigano makali yaripotiwa kati ya makundi ya waasi kwenye mkoa wa Kivu kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.