Radio
Uchunguzi waanza baada ya ajali ya ndege kuua 6 Dallas, Texas
Maafisa wa idara ya Marekani ya usafirishaji wapo jijini Dallas, Texas, kuchunguza sababu za ajali ya ndege mbili zilizo gongana hewani wakati wa maonyesho ya ndege na kuua watu sita baada ya ndege za kivita za wakati wa vita vya pili vya dunia ziligongana na kuanguka.
VOA Express
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Jioni: Marekani kuendelea kuimarisha usalama Asia iwapo China haitashinkiza Korea kaskazini kuachana na makombora na mipango ya Nyuklia
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.