Radio
19:30 - 19:59
Vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini vyaitisha mgomo wa kitaifa kulalamikia mishahara duni pamoja na mazingira ya kazi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:30
Rais João Lourenço atakuwa mwenyeji wa mkutano kutafuta suluhisho la mzozo wa DRC kulingana na taarifa ya vyombo vya habari vya Angola
Mkutano huu uliopangwa kufanyika Novemba 23 unatokana na mapigano yanayoendelea mashariki mwa DRC na pia kuangalia namna serikali ya DRC mara kadhaa imekuwa ikiishutumu serikali ya Rwanda kwa kuliunga mkono kundi la M23 shutuma ambazo Rais Paul Kagame alikanusha